Mwandishi wa siku nyingi na aliyekuwa Mhariri Msanifu (Sub-Editor) wa magazeti ya UHURU/Mzalaendo, Dunia Mzobora, amefariki dunia jana alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikopelekwa usiku kwa matibabu baada ya kuugua ghafla shinikizo la damu. R.I.P Dunia. BOFYA HAPA CHINI KUSOMA ZAIDI. http://lukwangule.blogspot.com/2013/11/mhariri-uhuru-afariki-dunia.html
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.