Furahia huduma za benki popote uendapo ndani ya Tanzania. Mtembelee wakala wa FahariHuduma alie karibu yako na uweze kufanya miamala yako ya kibenki kwa haraka na wepesi. Kupitia wakala wa FahariHudumaunaweza kufanya miamala ifuatayo:
Kuweka fedha kwa kutumia kadi au bila kutumia kadi
Kutoa fedha kwa kutumia kadi au kwa kutumia huduma ya Cardless
Kufahamu salio la akaunti
Kupata taarifa fupi ya akaunti
Kulipia bili mbalimbali
Kupata kadi ya TemboCard Fahari
Kufungua akaunti
FahariHuduma ni mfumo wa kwanza nchini Tanzania wa utoaji wa huduma za benki kupitia mawakala unao kuhakikishia urahisi wa kupata huduma za benki jirani nawe kupitia wakala wetu aliechaguliwa. Sasa huhitaji tena kutembea umbali mrefu ili kulifikia tawi la Benki ya CRDB kwa kuwa mawakala wetu wanapatikana mahali ulipo.
Jinsi FahariHuduma Inavyofanya Kazi
Miamala yote inayofanyika hutoa matokeo sahihi kwenye akaunti ya mteja muda huo huo.
Miamala yote huunganishwa moja kwa moja kwenye mfumo mkuu wa Benki ya CRDB
Kila muamala unapofanyika huambatana na risiti mbili ambapo moja hubaki kwa wakala na nyingine hupewa mteja.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.