![]() |
Pamoja na kuweka kufuli wameng'oa mfuniko. |
![]() |
Mzigo mwingine wa hapa umekwenda. |
![]() |
Ngoma nyingine hiyo imesepeshwa... |
![]() |
Hapa panaliwa 'taiming'. |
![]() |
Salama ya hili ni kwamba liko mbele ya Bank. |
![]() |
Hili liko mbele ya sheli lakini sementi iliyolishikilia inaendelea kulika pembezoni ni mkono wa mtu au tabia nchi? |
![]() |
Hivi ndivyo mifuniko ilivyo wekewa ulinzi. |
![]() |
Sasa hapa wamelamba hadi kufuli....Dadeki..!! Hii hi barabara ya Nrerere vipi hali ya barabara nyingine za kwetu Uswazi? |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.