ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 5, 2013

'AL MANUSURA ....!!'

 Watu zaidi ya 80 wamenusurika kufa baada ya bus la Kampuni ya Allys lenye Namba za usajili T139AFP kunusurika kupata ajali mbaya mara baada ya basi hilo kuacha njia kutokana na kukatika stering rod kupitia mwendo mkali wa basi hilo.

Ajali hiyo iliyosababisha basi hilo kuacha njia na kujikita pembezoni mwa matuta ya barabara imetokea leo majira ya saa 3:30 asubuhi katika kijiji cha Mambari wilayani Nzega likitokea mkoani Tabora njiani kuelekea mkoani Mwanza, na inaripotiwa kuwa hakuna mtu yeyote aliyeumia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.