ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 1, 2013

SKYLIGHT BAND, DIAMOND PLATNUM, LINNAH NA RICH MAVOKO WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI FIESTA AFTER PARTY MWANZA

Mwanamuziki Diamonda Platnum akiachia tabasamu la raha kuashiria furaha aliyokuwa nayo kwa mwitikio wa pati hilo lililofanyika ndani ya Gold Crest Hotel Mwanza, likiandaliwa na Skyligth Entertainment.
Kwa sTyLe....na The Platnum.
Skylight Band walikonga nyoyo za mashabiki ile kisawasawa....

Sam Mapenzi akifanya miksing na shabiki wake usiku wa Fiesta After Party ndani ya Gold Crest Hotel jijini Mwanza.

Chama la wana chama wakipata flash kwa blogu yao.

Majamaa wanapiga show levo full skul.

Flowerz wkishow love kwa flash.

Shika hapa acha hapa...

Linna aliimba zote kali toka himaya yake.

Very Fun...

Richie Mavoko na Skylight Band palikuwa patamu...

KalaZ...

Yeah...Macho yote mbele...

Kaka zangu wa nguvu.

Eh bana eeeh...

BrotherZ wa ukweli-ukweli.

Mkurugenzi wa Skylight Entertainment Sebastian Ndege na shukurani kwa mashabiki waliojitokeza kutoa sapoti.

There we go...

Nimekusoma Jembe....

Dany na Eddu.

The One and only 'Platnum'

Put you handZ up.

'Tingisha'

Na shabiki wake wa Mwanza.

Yes 4 Skylight Band.

Oooii..

Wow...!!
Moto wa Skylight...



Hata kama una roho ngumu kiasi gani lazima ukukamate..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.