ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 2, 2013

DADDY FACE Ft Abizzy - MISS MAMTONI

The Waiting is over. Video Ya Daddy face ft. Abizzy Kwasasa iko hewani.

Daddy face ni Msanii Chipukizi ambaye anakuja kwa kasi nyingi sana. Anaishi Marekani Na ni mzaliwa wa Burundi   daddy face iko tayari kuyiwakilisha east africa kwenye mziki na sanaaa. 

Video hii imetengenezwa na director maarufu sana Young pdk ambaye anaishi marekani 
pia. 

Daddy face amemshikirisha msaniii mkongwe kabisa maarufu sana nchini kwao Siela leone huko west africa ambaye anaenda kwa jina la Abizzy. Daddy face anapenda sana music ya Bongo Na ukimsokiliza style zake nizakibongo.

Song Name: Miss Mamtoni
Artist : Daddy face ft Abizzy

Director: Young pdk
facebook.com/young pdk
Instagram.com/young pdk
facebook.com/Creative Mind Vision

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.