ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 15, 2013

VITU FLANI HIVI KUTOKA MWANZA KUELEKEA UKEREWE NAYO SAFARI NDIYO IMEANZA

Safari inaanza kutoka jijini Mwanza katika mwalo wa Kirumba ndani ya ziwa Victoria kuelekea kisiwa cha Ukerewe.

Taswira ya baadhi ya maeneo kandokando ya ziwa Victoria kwa mbaaaaaali milimani juu ni Hospitali ya Rufaa ya Bugando.

Wavuvi shughulini nao wanaonekana.

Barabara za ndani ya Nansio kisiwani Ukerewe.

Shughuli mbalimbali za kujitafutia riziki.

Kituo cha mafuta ya moto car na mafundi bodaboda. 

Usafiri nambari wani ndani ya kisiwa cha Ukerewe.

Bidhaa za kufanyia usafi.

Soma lebo...

Chupa ya asili kwa kuhifadhia au kubebea mafuta kwa watu wa kabila la Wakerewe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.