TUNAOMBA RADHI KWA PICHA YA AWALI ILIYOWEKWA MTANDAONI HUMU KUWAGUSA WENGI TATIZO LILIKUWA UPANDE WA TIMU YANGU WAWASILISHA PICHA HIYO BILA UADILIFU: POLENI SANA KWA MLIOGUSWA.
Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu. |
Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya langer lover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu. |
Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madini jijini Arusha aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, amepigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.
Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu (ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara.
Habari zaidi tuvute subra kidoogo,tutazidi kufahamishana kadiri ya taarifa zitakapokuwa zikiingia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen.
Picha kwa hisani ya mdau Mutoto wa Arusha.
ONYO KWA WANAO TUMIA LUGHA ZA VITISHO KAMA KUNA SUALA HUJA PENDEZWA NALO KUNA NAMBA YA MAWASILIANO HAPO KULIA ZUNGUMZA NAMI LIVE.
Tupe maoni yako
PLEASE ONDOA PICHA YA USO YA MAREHEMU SI HAKI NA NI KINYUME CHA MIIKO YA UANDISHI
ReplyDeleteKweli Kabisa, hata Kidini haifai, hii inaongeza majonzi kwa watu na ni udhalilishaji pia, ONDOA HIYO PICHA YA SURA YAKE
ReplyDeleteHivi wewe Gsengo huyo angekuwa ndugu yako? Acheni unyama na heshimu maiti na Familia yake. Tatizo huna exposure ndio maana. Huu ni ujinga na unaona sifa sana bado hujatoa tuu. Inaonesha njisi gani huna akili. Wewe hapo Mwanza leo hii upigwe mpaka kuuwawa mke wako atapenda ona picha zako hivi? NAKUPA ONE HOUR TOA HII PICHA HARAKA SANA OR ELSE KITAKACHOKUTOKEA HUTASAHAU AND I MEAN IT.
ReplyDeleteGsengo sikujua wewe ni among waandishi wale wajinga hapa nchini. Huyo angekuwa baba yako mzazi ungefanya hiki? Huyu jamaa ana mke, watoto, wazazi, ndugu na rafiki. Huoni ulichofanya ni DHAMBI KUBWA HATA MBELE YA MWENYEZI MUNGU. HIVI HUOGI MUNGU HUONEI FAMILIA YAKE HURUMA. TAKE THAT PICTURE OUT MNYAMAAAAAA MKUBWA WEWE USIE NA UTU WA KIBINADAMU
ReplyDeleteHivi wewe Gsengo huyo angekuwa ndugu yako? Acheni unyama na heshimu maiti na Familia yake. Tatizo huna exposure ndio maana. Huu ni ujinga na unaona sifa sana bado hujatoa tuu. Inaonesha njisi gani huna akili. Wewe hapo Mwanza leo hii upigwe mpaka kuuwawa mke wako atapenda ona picha zako hivi? NAKUPA ONE HOUR TOA HII PICHA HARAKA SANA OR ELSE KITAKACHOKUTOKEA HUTASAHAU AND I MEAN IT.
ReplyDeleteHivi wewe Gsengo huyo angekuwa ndugu yako? Acheni unyama na heshimu maiti na Familia yake. Tatizo huna exposure ndio maana. Huu ni ujinga na unaona sifa sana bado hujatoa tuu. Inaonesha njisi gani huna akili. Wewe hapo Mwanza leo hii upigwe mpaka kuuwawa mke wako atapenda ona picha zako hivi? NAKUPA ONE HOUR TOA HII PICHA HARAKA SANA OR ELSE KITAKACHOKUTOKEA HUTASAHAU AND I MEAN IT.
ReplyDeleteWE G SENGO NI MSENGE TENA HUFAI KABISA TOA HIYO PICHA LA SIVYO NITAKUTUKANA MPAKA SIKU YAKO YA MWISHO
ReplyDeleteMuelewshe mtu cio kumtukana hapo uelewesh chochote keep up bro izo ni challenge tu
ReplyDelete