ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, August 7, 2013

MAISHA NI WATU ASEMA VUMBE

HI Guys, hiyo ni Track ya Vumbe inaitwa Maisha ni Watu na hii ni Original Version. Usijinyime burudani kwani Iko poa sana hivyo nakuomba uisikilize ng'anawane.....
Studio ambako ngoma hii imefanyika ni kwa produza STEVE White.

Isikilize kwa kubofya PLAY...

NAOMBA KUWASILISHA NI MIMI D'JARO ARUNGU-TBC you can also Call me babamzazi.
Also chek my web plz.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.