"Ziara ya Rorya Sports Club imelenga kuwajengea uwezo wachezaji kucheza viwanja vyenye ubora zaidi pamoja na kuwafungulia fursa ya ajira kwa vipaji vyao kuonekana mikoa mbalimbali kanda ya ziwa ili wapate timu kubwa kusajiliwa na hata kuitumikia timu ya taifa, kwani naamini jimbo langu lina vipaji vizuri ila havijapata mwanga tu wa wapi pa kuanzia, ninaamini wakazi wa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Kagera na Tabora wataamini hiki ninachosema pindi watakapo washuhudia vijana wangu" Alisema Lameck Airo |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.