ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 15, 2013

NKABAAAaaa...'MWANA BONGO STAA SACHI'

Kuna kitu alikuwa anakishangaa.....!!!!
"dUH NiNakipaji uspime kunisikia nikiimba!!"

Zoezi la kumsaka mwakilishi wa mkoa wa Mwanza limefanyika leo jijini hapa, jamaa huyu ambaye hakujulikana kuwa anatoka wapi, au wilaya gani au kisiwa gani jicho la kamera yetu lilimnasa toka eneo la usaili mlango wa Club Fusion hadi njia ya uelekeo wa barabara ya Makongoro - Airport na hapa alikuwa amefika eneo la jengo la Ofisi za CCM Mkoa.
Sijui alifanikiwa????

Tupe maoni yako

1 comments:

Note: Only a member of this blog may post a comment.