ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 16, 2013

HAPA NA PALE KWETU ZOO.

Mjengo wa Hotel Gold Crest jijini Mwanza.

Paking na jengo la Kariua opposite na New Mwanza Hotel. 

Eneo la kileleni muda si mrefu litakuwa kivutio cha utalii wa watu wa Kijerumani.

Ni kitambo sasa tangu lilipovunjwa jengo la NHC, ambalo chini yake shimoni lilikuwa na klabu yenye historia ya masuala ya burudani na watu wa Zoo, naizungumzia Romous Club, What's Happen...? Mkandarasi kaingia mitini, kuna mgogoro au mafungu hayajatengwa au...? Tupeni majibu kwa wenye majibu..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.