Ilikuwa sekunde, dakika, saa, siku, mwezi, mwaka hatimaye leo umetimiza miaka 19 Tangu ulipotuka (28/07/1994) mama yetu mpendwa Edna Akinyi Nashon Okech.
Unakumbukwa na wanao, kaka na dada zako ndugu jamaaa na marafiki walioishi nawe.
Pumzika kwa amani Mama.
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment