"Oyaa Mpaka iishe hiyo..." |
Mie na Birthday boy, Bavon wa Beat Agenda ya TBC 1. |
Ilikuwa nimakaribisho frendz brothers and sisters. |
Bavon (L) na Mc Stopper (R) wote siku ya jana (27july) wamesherehekea siku ya kuzaliwa. |
Flash za fasta.. |
Kutoka shoto ni Jackob Usungu, Bavon mwenyewe na Tony Alphonce katika pix ya pamoko. |
Philbert Kabago na Bavon. |
Ni wakati wa 'shampain' hapa ilikuwa mikwara tu ya mfunguaji Dj John (R). |
Meza zilisheheni kila frengwaz wacha kiingereza kitawale.... |
The Mwaaa Thing... |
Bavon na flowerz. |
Yep. |
Together |
You see... |
Pipoz kwenye party la kuzaliwa Bavon lililofanyika Hotel JB Belmont Top roof jijini Mwanza. |
Nyamaz na biere... |
Frendz wakiendeleaga kutumikaga kwa meza. |
Shika hapa acha hapa.....!!! |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.