ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 5, 2013

BAG PARTY LA DANNY LAMECK LILIVYOPENDEZA

Bwana harusi mtarajiwa Danny Lameck akimtambulisha mama yake mzazi katika bag paty la nguvu lililofanyika na kufana ndani ya Gold Crest jijini Mwanza. 


Neema Lameck ni dada wa bwana harusi mtarajiwa na hapa akiwa utambulishoni.


Tha cake.


Bwana harusi mtarajiwa akimlisha cake mama yake mzazi.
Wageni mbalimbali wamehudhuria hafla hii.


Ni wakati wa 'chiaZz'


'ChiaZz' na mama yake mzazi.


Baba mdogo wa Danny Lameck akitoa nasaha katika hafla hiyo iliyofanyika Gold Crest Hotel Mwanza.


Mr. Aiko naye alishiriki kutoa nasaha. 


Bwana harusi mtarajiwa na mpambe wake wakisikiliza nasaha kwa umakiiiiini.


Meza zilipendeza haswaa kuanzia mazingira hadi watu wenyewe.
Full muonekano.


Bwana harusi mtarajiwa (kushoto) akiwa na dada zake ambao ni Oliver (Mrs. Albert G. Sengo) na Neema Lameck (kulia)


Picha ya pamoja na bwana harusi mtarajiwa Danny Lameck (aliye katikati) na kulia ni Neema na kushoto Mr.Albert G. Sengo.


Ni hafla ya nguvu kuelekea harusi itakayofungwa mnamo tarehe 8 juni 2013.


Membaz wa bwana harusi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.