ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 5, 2013

MWILI WA ALBERT MANGWEA WAWASILI VIWANJA VYA LEADERS ASUBUHI HII, KUAGWA LEO.

Mwili wa Mwanamuziki wa Bongo flavour nchini Tanzania Albert Mangwea umewasili asubuhi ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club ikiwa ni matayarisho ya kutoa heshima za mwisho kwa wapenzi wa muziki wake wakiwemo jamaa, ndugu na marafiki ambapo hatua hizo zitakamilika mnamo saa 6 mchana ili kuanza safari kuelekea mkoani Morogoro ambako atazikwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.