NIC Bank imekuja na program mpya ya T24, mfumo mpya wa kisasa wa kikopyuta unaorahisisha uendeshaji wa shughuli za kibenki ambao unawasaidia wateja wao kuwahudumia kwa haraka na kwa muda muafaka. |
Meneja wa Tawi la Mwanza Richard Donatus akiitambulisha safu ya wafanyakazi wa NIC Bank tawi la Mwanza na vitengo vyao husika. |
Wateja wa benki ya NIC wakiwa ndani ya ukumbi wa Nyerere Gold Crest Hotel kwaajili ya kupata chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo. |
Wateja ambao ni wafanyabiashara wa jijini Mwanza wakijadiliana ndani ya Hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NIC. |
Wadau wa biashara wamekutana kwenye Hafla hii kwa mazungumzo mafupi na kubadilishana uzoefu. |
Wadau wa NIC Benk. |
Moja kati ya faida ya huduma mpya ya T24 ni kuwa, kupitia mtandao (On line banking) mteja anaweza kukaa nyumbani au kuwa mahali popote pale akapata huduma za kibenki kupitia SMS banking. |
Ushauri wa sisi kwa sisi wateja wa NIC. |
Ni moja kati ya meza waliyokaa wafanyabiashara maarufu jijini Mwanza. |
"Temenos T24 is comprehesive business functionality with an advanced, secure, scalable technology and market challenges of today and tomorrow" Said 'Mc Stopper' |
Wadau wakijipatia chakula kizuri kilichoandaliwa na NIC Bank kwenye hafla na wateja wake jijini Mwanza. |
Samaki au kuku? |
Chakula time. |
Starter ... |
Tupe maoni yako
Hello! This post coulԁn't be written any better! Reading through this post reminds me of my previous room mate! He always kept talking about this. I will forward this post to him. Pretty sure he will have a good read. Thank you for sharing!
ReplyDeletemy website :: Lookup Discounts Accommodations rates