ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 29, 2013

SALAAM ZA LADY JAYDEE KWA WADAU WA SANAA



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika mwaka huu 2013, Inatimiamiaka13 tangunianze kazi ya muziki.

Nashukuru MUNGU tukopamoja na pia, nashukuru umma wa Tanzania kwa kuendelea kusupport muziki wa Tanzania na kunipa nguvu mimi kama msanii.

Nashukuru vyombo vyote vya habari vinavyoshiri kikikamilifu kukuza na kulinda sanaa ya Tanzania bila kujali maslahi binafsi.

Tumeandaa sherehe kubwa na nzuri ya miaka 13 ya LADY JAYDEE, katika muziki.
Na mdhamini mkuu kwa upande wa media ni East Africa TV.

Sherehe ya miaka 13 ya Lady Jay Dee katika muzikii taambatana na uzinduziwa album yangu yasita inayokwenda kwa jina la NOTHING BUT THE TRUTH ambayo inajumla ya nyimbo 10.

Katika sherehe hizo pia kutakuwa na show ya nyimbo zote bora za Jay Deen ikishirikiana na baadhi ya wasanii wenzangu hapa nchini.

Sherehe zitafanyika Ijumaa tarehe 31 May 2013.

Nawakaribisha wote tufurahi pamoja
Na Mungu awabariki


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.