ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 28, 2013

'IACHE TWANGA IITWE TWANGA' YADHIHIRISHA KUWA NI KISIMA CHA BURUDANI

Mwanamuziki wa bendi ya Twanga Pepeta kalala Jurnior akinesa na mmoja kati ya madansa wa Twanga katika show ya ufunguzi wa Wiki ya Misukosuko na Villa Park jijini Mwanza.


Mc Magoma akimtambulisha Kalala Jr. katika uzinduzi wa Wiki ya Misukosuko Villa park ambapo hitimishi litakuwa jumamosi ya wiki ijayo ambapo Villa Park itaishusha bendi nzima ya Mapacha watatu kufunga kazi.


Mkongwe ndani ya Twanga akidhihirisha maujuzi.


Semsekwa katikati ya mabinti...


Kalala tena....


Palipendeza nao muziki umewateka kisawasawa...


Safu ya maufundi na mavox Twanga Pepeta Kisima cha burudani kilicho shuka jana na kuzindua Wiki ya Misukosuko Villa Park Mwanza.


Kutoka kulia ni Jack Fish, G. Sengo, Philbert Kabago, Man B na Le-Brozer.


Mwanamuziki mwenye sauti ya dhahabu Dogo Ramma akikandamiza mashairi kwenye moja ya nyimbo za Twanga Pepeta. 


Wakishow love kutoka kushoto ni Muhksin Mambo wa The big Top ten, Meneja wa Villa Park Ramma na Philbert kabago.


Full ming'aro ya Twanga.


Vipaji lukuki ni Kalala Jr.


Chips zikikaangwa.


Nyuz bin Nyuuuuz''''''


Mdau wa Mwanza Mr. Matiku naye alikuwepo...


Wazee wa samaki kutoka kushoto ni Sele Masamaki, Luiza Mbutu na Mh. Kiongozi

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.