![]() |
| Kala Jeremiah amezindua kwa kishindo yake ijulikanayo kwa jina la PASAKA ambapo hii ni kwa mara ya kwanza kuizindulia nyumbani mara baada ya kuzuru mikoa mingine kadhaa hapa nchini. |
![]() |
| Mashabiki walizinguka na kila hatua ya burudani kwenye uzinduzi wa album ya Kala Jeremiah jijini Villa Park jijini Mwanza. |
![]() |
| Hapa kila shabiki wake wa nyumbani alikuwa akiimba naye mstari baada ya mstari. |
![]() |
| Hisia za Kala Jeremiah ndani ya uzinduzi wa album yake. |
![]() |
| Ni wana R&B wa home Rock City namzungumzia Dogo Baraka (L) na WWW. |
![]() |
| Dogo Baraka na feeling zake songini. |
![]() |
| Wau...!! Dayna akidekshia pozi za shabiki wake. |
![]() |
| Mauno ya Dayna. |
![]() |
| Balaa lilikuwa hapa kwa mkali Kitale. |
![]() |
| Kitale akiimba wimbo wake unaotamba sasa 'Masela hili dude noma....!!!' |
![]() |
| Pia Kitale alitenga dakika moja ya kumuombea rafiki yake katika sanaa Sharomillionea. |
![]() |
| Chezea H. Baba na watu wa jiji la Miamba.... |
![]() |
| Huku akihamasisha kumpigia kura ndani ya tuzo za Kili pindi namba rasmi zitakapo toka msanii H. Baba alishow love kwa kununua album ya Kala Jeremia |
![]() |
| Dj. Chriss on the one & two. |
![]() |
| Snake fey na album ya Kala Jeremiah. |
![]() |
| Ni Mc. Mziwanda na Mwenyekiti wa Mwanza Kwanza Philbert Kabago. |
![]() |
| Kala Jeremiah akishow love na Muhksin Mambo pamoja na shabiki wa burudani. |
![]() | |
| 'Ze face' na wasanii wetu Bongo Kitale na Dayna. |
Tupe maoni yako


















0 comments:
Post a Comment