![]() |
| Ratiba ya ligi soka daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Mwanza inayoendelea kwenye uwanja wa Nyamagana. |
![]() |
| Mmoja kati ya washambuliaji wa Liver side akiukokotoa mpira toka pembe moja ya uwanja wa Nyamagana katika mchuano wa soka ligi daraja la tatungazi ya mkoa. |
![]() |
| Msahambuliaji wa Liver side Frank Kulwa akiinyanyasa ngome ya Lake Worious. |
![]() |
| "Ngoma katikati ya miguu huku kila timuikijitahidi kwa ufundi kuona ni jinsi gani inapata ushindi" |
![]() |
| "Ni hatari langoni mwa Lake Worious lakini anajitokeza pale beki wa timu hiyo na kuiondosha hatari..." |
Tupe maoni yako





0 comments:
Post a Comment