![]() |
Mwimbaji muziki wa Injili Neema Mwaipopo akihudumia kwa njia ya uimbaji kwenye viwanja vya CCM Katoro mkoani Geita. |
![]() |
Hapa ni katikati ya kusanyiko na mkali wa muziki wa injili Neema Mwaipopo. |
![]() |
Kama kawaida yake mwimbaji Nesta Sanga ameendeleza wimbi lake la kufanya vyema kwenye kila kusanyiko alilohusika nalo kanda ya ziwa. |
![]() |
Uwanja huu hauna majukwaa hivyo wananchi hukusanyika popote wanapoweza yote kwa yote huu ni moja kati ya utalii. |
![]() |
Ni mwimbaji mpya kabisa kwa masikio ya wengi mijini lakini ndani ya himaya ya Geita yu msanii mkubwa na ana nyimbo nzuri za kusikilizwa na hata kuchezeka. |
![]() |
Macho mbele kwenye mashughuli. |
![]() |
Ni raha ni kucheza kwa furaha. |
![]() |
Kwaya ya Katoro Geita. |
![]() |
Lango kuu la uwanja wa CCM Katoro kama ni tiketi hiyo hiace hapo pembezoni... |
![]() |
Ni producer wa COSU Studio ambaye vilevile yu mkali katika mavideo.. |
![]() |
Alikuwa paleeeee.....!!! |
![]() |
Picha toka kwenye kamera ya producer wa COSU. |
![]() |
Ilifika kipindi waimbaji wakawa katikati ya umati nayo shughuli ikaendelea kama ilivyopangwa. |
![]() |
Watangazaji wa Radio Kwaneema Fm Mwanza kutoka kushoto ni Jackline na Florida. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.