ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 2, 2013

VITU ADIMU SAFARINI GEITA

Picha la tabasamu na watoto njiani kuelekea Katoro Geita 

'Mjini kati'

Ujenzi bora na maadhari ya kuvtia kwa nyumba ya ibada inafanya muonekano mzuri wa eneo hili.

Mchumia juani hulia kivulini.

Ardhi yenye rutuba na jamii yenye ustawi.

Mwanamama akipeta pumba za mchele kupata chenga zilizosalia ambazo hufaa sana kwaajili ya kusagwa kupata unga wa kutengenezea vitumbua.

Ununuzi wa matofali ya kuchoma na usafirishaji wake.

Biashara mitaani.

Usafirishaji mchanga.

Ni benki pekee ambayo imethubutu kuwekeza katika mji wa Katoro Geita hivyo kuwarahisishia wananchi wa hapa na wageni kupata huduma za kibenki.

'Chezea Msukuma weye' Chekshia rumbesa...!!

Ni kipindi cha sikukuu ofisi nyingi zimefungwa kwa mapumziko.

Mara zote biashara inayolipa hupimwa kwa mahitaji ya watu ndiyo maana mfanyabiashara huyu kaamua kushusha mzigo wa kutosha.

Ze mazingira.....kule kulia kuna barabara kuelekea machimbo ya dhahabu.

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. Grеat site you've got here.. It's difficult to find high
    quаlity writing like yours these days. I honеstly
    appreciatе indіviԁuals liκe yοu!
    Tаke carе!!

    Herе is my ѕitе; Discount Brand-new Orleans Accommodations

    ReplyDelete
  2. Great article, exactly what I was looking for.


    Feel free to surf to my website: making money with penny stocks

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.