![]() |
| Bibi Ng'wanamashauri akiwa na wajukuu zake nyumbani kwa Uncle Meshack. |
![]() |
| "Ndiyo mimi" ni katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani. |
![]() |
| "Sasa umefika pumzika" shangazi alisikika akisema. |
![]() |
| "Kaa vyema mama". |
![]() |
| Akivalishwa viatu. |
![]() |
| Bibi na wadogo zangu. |
Picha zote amepiga akiwa mkoani Dodoma nyumbani kwa Uncle Meshack.
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment