![]() |
Afisa habari wa Forum Syd Tanzania Bi. Emma Mashauri akitoa maelezo juu ya mikakati iliyowekwa kufanikisha maadhimisho hayo. |
![]() |
Forum Syd imekuwa ikifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 1982 ikilenga katika kuchochea maendeleo endelevu, haki na kuzingatiwa kwa sheria, pamoja na kupunguza umasikini. |
![]() |
Kongamano hili limekuja likihusisha na akina baba pia kwa nia ya kutoa elimu ikiwa ni safari kuelekea siku ya Maadhimisho ya akinamama duniani tarehe 8/03/2013 |
![]() |
Mkufunzi kutoka Chuo Cha SAUT akiwasilisha mada kwa wanakongamano ilizipate kujadiliwa kwa kina ikiwa ni pamoja na kutolewa ufafanuzi na maamuzi. |
![]() |
Kwa utulivu na umakini akinamama wakisikiliza yanayojiri ndani ya kongamano hili la Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke duniani lililofanyika ukumbi mkubwa wa mikutano Monarch Hotel jijini Mwanza. |
![]() |
Sehemu ya wahudhuriaji. |
![]() |
Umakini zaidi kusanyikoni. |
![]() |
Burudani nayo ilipata nafasi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.