![]() |
| Hii ni promosheni ya bidhaa za Samona zinazosambazwa na Lakairo Investiment Co. LTD iliyofanyika viwanja vya mnada wa Kiloleli Mwanza. |
![]() |
| Wanafunzi nao ni sehemu ya jamii watumiaji wa mafuta na sabuni ya Samona nao wamefurika eneo hili kushuhudia promosheni hii. |
![]() |
| Kujitosa kulikuwepo na hapa bidada akijituma jukwaani kuonyesha maufundi katika kucheza muziki wa Ragga.... |
![]() |
| Wananchi waliojitokeza kushuhudia promosheni eneo la Kiloleli . |
![]() |
| Ni wakati wa zawadi kwa aliyeonyesha maufundi...na hapa alikuwa akipewa zawadi moja baada ya nyingine. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment