ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 16, 2013

SONGI LA SAJNA ft. BELLE 9 & PIPI - ROHO MBAYA

Mambo vipi,

Ni kitambo kirefu sana nimekuwa kimya kutokana na maswala ya shule ila sasa kidogo nimetulia. NImeamua kuuachia wimbo huu unaitwa ROHO MBAYA ambao nimewashirikisha BELLE 9 na PIPI kama zawadi yangu kwa fans wangu, lakini official single ya mwaka huu inafuata siku si nyingi. 

wimbo huu beat ilifanywa na Duke wa M-Lab na vocals zilifanywa na Tetemesha Records mwaka juzi.

Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu kwa mwaka huu.
Asanteni
Sajna


Bofya play kusikiliza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.