ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, December 4, 2012

DR. SLAA ATHIBITISHA KUWA ANA KADI YA CCM: ASEMA AMEIWEKA KWAAJILI YA HISTORIA KWA WAJUKUU ZAKE.

Haya yanajitokeza mara baada ya katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, itikadi na Uenezi Nape Mnauye, mnamo disemba 2 mwaka huu (2012) alipokuwa akifungua Mkutano mkuu wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Nyamagana na kurusha kombora kuwa vigogo wengi ndani ya CHADEMA kuwa wana kadi za CCM na wengine wanaendelea kuzilipia jambo linalothibitisha unafiki walionao viongozi wengi wa upinzani nchini.

“Kama nasema uongo, Babu Dk. Slaa ajitokeze aseme kadi yake ya CCM aliirudisha lini na kumkabidhi nani. Lakini ninayo orodha ya vigogo wa CHADEMA ambao huja kulipia kadi zao za CCM kila mara. Huu ni unafiki mkubwa” alisisitiza Nape.

Sasa katika kujibu mapigo kwa alichosema Nape huu ndiyo ujumbe wa Dr. Slaa:- 





Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Naomba msaada wa kufahamishwa. Mtu akishachukua kadi ya CCM anaendelea kutambulika kama mwanachama hai hata kama hashiriki kulipa ada au mambo mengine ya kichama?

    Je hakuna namna nyingine ya kujitoa uanachama wa CCM tofauti na kurudisha kadi??

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.