![]() |
| H. Baba akiimbisha wakati mmoja kati ya wacheza show wake 'Dogo Poteza' akikisanukisha. |
![]() |
| Hapo jeh..! |
![]() |
| Ova nanihino....Hatari aiseee. |
![]() |
| Huku akipewa tafu na JB Mpiana 'Mukulu' aka Binadamu pamoja na rapa wa bendi hiyo, mwanamuziki H. Baba alifanya ile inayotakiwa kwenye jukwaa kubwa sambamba na kundi la Wenge BCBG. |
![]() |
| Utamu unapokolea 'tafu' muhimu. |
![]() |
| Ngoma ikiendelea stejini naye H. Baba akiendelea kumwaga sumu. |
![]() |
| "Seeeee...!" |
![]() |
| Shabiki akisutumuka na Dogo Poteza. |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment