|
D MALICK MELODY NA MR BLUE KABAYSER KUTOKA FISHRAB KUACHIA MKWAJU
TISHIO KATIKA TASNIA YA BONGO FLEVA!!!.....
Bdulmalick Simbamgeni
almaarufu kwa jina la D malick (22) ni moja kati na ya wasanii anboa wapo chini
ya producer mkogwe Tanzania ambae Alisha wahi kujinyakulia tuzo kadhaa za kili
muzik awards ambazo hufanyika kila mwaka nchini Tanzania. Si mwingine ni
producer lamar niecamp (talk of the town) ambae anamakazi yake maeneo
yajangwani karikoo jijini dare s salaam.
Producer huyo ambae
alisha fanya hits kibao na wasanii tofauti tofauti Tanzania kama
dimond, chege, lady jay dee, geez mabovu, mr blue, mr nice, jafery tid (top in dar) na
wengine kibao alikutana na msanii d malick mwaka march/2011 baada ya msanii
huyo kutoa hits tofaut na producers tofauti tofauti kutoka jijini mwanza na
kufanikiwa kufanya video za nyimbo
kadhaa,ikiwemo 4gve me na mtima wange ambazo zilimfanya katika tasnia ya muziki
nchini Tanzania.
Dimond ni
msanii alie wahi kuniweka chini na kunihusia mambo mengi sn kuhusu muzuki…..Kila
kitu kinahija maandalizi ,subira,hekima,busara na uvumilivu kufikia malengo,
pia kutokw mjuaji ili kufikia malengo –alisema d malick baada ya kuulizwa nini
siri ya mafanikio yake katika game ya bongo kwakuwa wasanii wengi huferi
kufanikiwa kimuziki…..
Mara baada ya msanii d malick kukutana na producer lamar alitoa kibao
kiitwacho mama mwenye nyumba ujio ambao ulipma chati msanii huyo kiasi cha
kujlikana na wasanii tofauti Tanzania. Mara baada ya kutoa kibao hicho d malick
alikaachini na kuumiza kichwa na kuadaa project mpya chini ya usimamizi wa
fishcrab audio station ambapo walishiri kiana na producer wake lamar.
Kwa muda
usio pungua miezi 11 kasoro mwezi mmoja kukamilika mwaka d malick alitumia muda
huo kutengeneza ngoma hiyo. Katika wasaniii
ambao d malick alikua akitazamia kufanyanao kazi Tanzania ni khery
sameer aka mr blue,ambapo msanii huyo mkongwe katika tasnia ya muziki wa bongo
flever mwenye mapozi kibao alikuwa nchini dubai kwa shows ambazo alikwa
amealikwa.
Baada ya kurejea alimeet na d malick na kupanga programme nzima ya
kufanya kz pamoja, kwakua mr blue alikua bize na show za nje ilimlazimu d
malick kumsubiri arejee tena baada ya kuondoka kwenda malesia ambapo pia alikwa
na shows kibao. Kitu ambacho kilizidi kufanya project kuchukua muda mrefu ikiwa
studio.
Kabiser the babylone bizy alireja toka malesia na kufanya kazi na d
malick, project iitwayo nilompenda ambapo pia alishirikiana na mwanadada
hanylet ambae ni mwanafunzi mwenzie d malick katika chuo cha ustawi wa jamii
jijini de res salaam. Ujio huo wa d melody umeshtua wasanii wengi sn bongo,
nimwanzo tu kunaproject za kutosha sana nipo na kaka yangu lamar hakuna
kinachoharbika, pia vide ya project yangu ipo njian watu wakae taali…-alisema d
malick kwa kujidai.
Aliongezea kwa kusema-namshkuru m/mng, nawashkuru wote walio
husika kunufakisha hapa mng awabark sana na awape moyo wa kusaidia wengine
insha allah game yetu itafika……shukurani zangu za thati kwa producer wng lamar
kwakuona umuhimu wa kipaji changu, pia namshr kaka blue kwa sapport
kubawatu.pia namshukuru kaka dimond kwa sapport yake kwani sasa nauwezo mkuba
katika uandishi na hata uimbaji…..yote ni kwasababu yake hakuwa mchoyo wa
ushauri na mafunzo tofauti tofaiti ki muziki………mwisho wa kunukuu.kwa sasa d
malick anaendelea na masomo yake katika chuo cha ustawi ambapo anachukua
shahada ya uongozi kazi huku akifanya muzk.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.