![]() |
| Kocha mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akitoa maelekezo kwa Mbwana Samata katika mazoezi yanayoendelea dimba la CCM Kirumba Mwanza. |
![]() |
| Nahodha wa Taifa Stars Juma Kaseja akijiweka sawa kwa mazoezi. |
![]() |
| Kombonesheni ikiandaliwa...... |
![]() |
| Mbinu hapa ni Thomas Ulimwengu (kulia) na Mbwana Samata. |
![]() |
| Concetration. |
![]() |
| Mrisho Ngasa akikokotoa .... |
![]() |
| Viongozi wa MZFA wakifuatilia mazoezi ya timu hiyo. |
![]() |
| Maelekezo toka kwa Kocha Kim Poulsen kwenda kwa Mrisho Ngasa (mwenye mpira) anayejitayarisha kumtoka 'Chuji' (23) |
![]() |
| Juma Kaseja akichumpa kuudaka mpira uliopigwa na golikipa mwenzie Deogratius Mushi. |
![]() |
| Majadiliano mambo ya ziada. |
![]() |
| Kocha msaidizi wa Taifa Stars Slyvester Mash (kulia kwa Kim) akitoa msisitizo kwa kikosi. |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment