Ukitizama kwa umakini picha hii... tafakuri itakuonyesha kuwa huu ndiyo mlinganyo sahihi wa maisha ya binadamu wa sasa na hivi ndivyo wafanyavyo watawala wa miaka ya sasa na ndiko tunakoelekea Tanzania kama hatutokuwa makini,,, Kuna msemo ulio kwenye maandiko matakatifu (siunukuu kama ulivyo) "Naye atampiga mchunga kondoo na kondoo wake watatawanyika"
Haya sasa tafakari kwa makini twaelekea wapii......?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.