Moja ya kati ya majengo ya Walimu yaliyojengwa na Mh Lameck Airo, ambapo yote mawili yamegharimu kiasi cha shilingi Milioni 26 |
Mh Lameck Airo akipata Maelekzo |
Watoto wa shule ya Msingi Utegi wakipata Mlo shuleni hapo |
Watoto watundu... |
Mh Lameck Airo Mbunge wa Jimbo la Rorya akikagua Daraja lililojengwa kwa Ufadhili wake jimboni humo. |
Ukaguzi ukiendelea katika Daraja |
Moja ya Nyumba ya Walimu iliyojengwa na Mh Airo |
Wanafunzi wakijumuika na Mbunge wao kuelekea sehemu ya kusanyiko. |
Mh Lameck Airo akiweka saini katika kitabu cha Kumbukumbu |
Usikuvu ulikuwa 100 kwa 100 wakati mh. akiwapa somo wanafunzi wa shule ya msingi Utegi. |
George Marato,
From Mara,
Tanzania.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.