Anaitwa Anastazia Dulianus miaka 18, ni mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara, amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote .
Mzazi wake wanatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu wake KCMC Moshi, binti huyu anahitaji msaada wa kifedha hivyo atakayeguswa na mateso haya ayapatayo binti huyu afike wodi namba 4 Hospital ya Mkoa wa Mara.
Au fanya mawasiliano kwa namba 0756 035 825
Katika kumsaidia Dada Anastazia tumia akaunti namba022201093996 NBC
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.