| Mshereheshaji Taji Liundi akiongoza jahazi ndani Commedy live ambayo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar. |
| ...Kila mmoja yupo busy akifuatilia onyesho. |
| Mchekeshaji machachali wa kundi la Vuvuzela, DOGO PEPE akiwavunja mbavu wageni waliojitokeza katika onyesho lao. |
| Vicheko kila mahali maana DOGO PEPE alikuja kivingine ka kuwaacha watu hoi. |
| Mwanadada Enika nae alitoa burudani. |
| Watu waliojitokeza katika onyesho hilo. |
| Mchekeshaji mwalikwa kutoka nchini Kenya, Mdomo Bag akitoa burudani katika onyesho la Vuvuzela Entertainment ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar. |
| Missie Popular nae akikuwepo kutoka sapoti. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment