ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 28, 2012

WIMBO MAALUMU KWA SHAROMILIONEA NA WOTE WALIOTUTOKA



HUU NI WIMBO MAALUMU TULIOFANYA KWA AJILI YA SHAROMILIONEA NA WOTE ALIOTUTANGULIA

SHUKRANI NYINGI ZIENDE KWA KINGKAPITA, NAS 3, NUH STAMINA, JURU, TASH, HARDNAME, DULLAH WAMICHANO.

POLE SANA WATANZANIA KWA KUONDOKEWA NA NDUGU ZETU TUNAOWAPENDA SANA TUTAWAKUMBUKA MILELE.

WAKATI HUO HUO:

Taarifa kutoka kijiji cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga kwa mujibu wa www.kajunason.blogspot.com zinasema kuwa  Sharo milionea amezikwa mchana wa leo na maelfu ya wahudhuriaji waliofurika toka ndani na nje ya mkoa huo.
Maelfu ya wahudhuriaji.

Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea, Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu, Muheza mkoani Tanga.
 
Wasanii wakiwa mzibani.
 
 Wasanii wakiwa eneo la makaburi.

Wasanii H-Baba na Suma Mnazareth wakiomboleza.
 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.