Katibu wa Siasa na Uenezi wilaya ya Nyamagana, Mustapha A. Banigwa. |
Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari vya jijini Mwanza, Katibu wa Siasa na Uenezi wilaya ya Nyamagana (wilaya ambako tukio hilo lilitokea) Bwa. Mustapha Athuman Baningwa, amesema kuwa chama chake kinalaani vitendo vya Raia ama Askari yeyote kujichukulia sheria mkononi hivyo wameiomba serikali kufanya uchunguzi zaidi kubaini tatizo......
Zaidi msikilize katibu wa siasa na uenezi kwa kubofya play...
Zaidi msikilize katibu wa siasa na uenezi kwa kubofya play...
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.