ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 1, 2012

TWANGA PEPETA WAWADHIHIRISHIA WAKAZINWA MWANZA KUWA WAO KWELI NI KISIMA CHA BURUDANI KISICHO KAUKA

Mwimbaji aliyerejea Band ya Twanga Pepeta akitokea Mapacha Watatu, Kalala Jurnior akipewa zawadi na mashabiki wake wa Mwanza kwenye show ya Utambulisho wake ndani ya kiunga kipyaaaa cha burudani Jokers Pub Iloganzala jijini humo. 

Kilomita 10,000 na sutumuka za Twanga Pepeta.

Mikogoz na Mashdida imo-mo...

Safu ya mbele ya Wana-Wakutwanga na kupepeta ikiwajibika.....

Mara dwaaaa....!!!!!!

Mavijana ya kazi kutoka kushoto ni Dogo Rama aka Kilimita 10,000, Muumini Mwijuma, Namba mpya, Baba Diana Amigoras na Miraji Shakashia. 

Hapa Mwimbaji aliyerejea Band ya Twanga Pepeta akitokea Mapacha Watatu, Kalala Jurnior akiwaimbisha wana Mwanza ndani ya kiunga kipyaaaaa Jokers Live Pub.

'Profeshenale' Muumini Mwijuma bado ananyota kali.....

Wadau wa burudani jijini Mwanza Rama Villa Park na mdogo wake.

Kado Bass pale 'fronti'

Semeni mnataka nini....??


Mkali asiyefunikika kwa akinadada muziki wa dansi nchini Luiza Mbutu  'Sauti ya Twanga' hapa alikuwa akitambulisha msanii mmoja baada ya mwingine kwa wapenzi wa burudani Mwanza Tanzania.

Kalala kumbe ni mkali pia katika kukaanga chips.

Ngoma ya kusugua kisigino inogile.....

Shangwe mwanzo mwisho na wana Mwanza Kwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.