UTPC ni Umoja wa Klabu za waandishi wa habari za mikoani yaani (Press Club). Umoja huu uliundwa mwaka 1996 na kusajiliwa mwaka 1997 ukiwa na madhumuni ya kuratibu harakati za kuzijenga klabu, na kuzipatia jukwaa la kujadiliana juu ya mambo mbalimbali yanayohusu taaluma ya uandishi wa habari. |
Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC Aboubakar Karsan (kulia) akimkabidhi nyezo za kazi Mjumbe mpya wa Bodi mpya Ali Haji Hamadi anayetokea Pemba Press Club kuanza kazi rasmi kuitumikia UTPC tukio likifanyika ndani ya hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi mpya ya wakurugenzi wa UTPC iliyofanyika Ofisi za UTPC Isamilo jijini Mwanza |
Mpaka sasa UTPC ina wanachama yaani klabu 23 Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Klabu hizi zinafanya shughuli mbalimbali chini ya uratibu wa UTPC. |
Picha ya pamoja Meza kuu na Bodi ya wajumbe wa Zamani UTPC |
Picha ya pamoja Meza kuu na Bodi ya wajumbe wa sasa UTPC |
Tupe maoni yako
Saaafi saaana Gsengo wewe mashine, kazi yako nzuri sana umeitoa kwa wakati. 'Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni' Wewe unastahili kupongezwa. Asante saana Nduguyo Juma Nyumayo, Songea-Ruvuma
ReplyDeletesengo ni siku nyingi tokea jambo hili kupita. ila kwakuwa sikuwa kushukuru siku zile pokea tu shukrani zangu za maandishi sasa. better late than never
ReplyDelete