ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 12, 2012

SWAGA LA POLICE ANAPOFUKUZIA DEMU

Unajua nakudhamini zaidi ya rushwa na posho? Bira ya wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio.

Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo, wewe ndio IGP wa moyo wangu.
mbona  upo kimya? Nina RB ya penzi rako, nijibu nifungue jarada rako ndani ya moyo wangu ukienda mbio kama difenda mpya bhana. 
 
Nakuhakikishia nitakuwekea usarama kama msafara wa Rais, usiniweke roho juu kama maandamano ya CHA***A.
 
Nijibu poti............................................

SIKU NJEMA MDAU

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.