ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 11, 2012

OCHU SHEGGY OFFICIAL HD VIDEO 2012 ( EMPTYSOULZ PRODUCTION )


Wadau naomba niitambulishe kwenu kazi mpya ya Music Video
ya Msanii Ochu Sheggy....

Tupe maoni yako

5 comments:

  1. kazi imetulia sana sanaa msanii katulia model ndiyo noumaaa na director lamba kamaliza mchezo safii

    ReplyDelete
  2. EMPTYSOULZ MNATISHA MAMJAMAA MAANA NI KICHUPA CHA KIMATAIFA BIG UP SANA WATU WANGU
    KING G ( USA )

    ReplyDelete
  3. hahaaaaaa big boss Solomo Laaaaaamba unatuhamisha mji director naona wezi wa studio wamekupa hasira poa mtu wangu ochu kiwango

    Milian Okenia

    ReplyDelete
  4. model si mbaya ila video ni mbaya sana hasa msanii hovyo kabisa natamani kutapika

    ReplyDelete
  5. Dont give up Ochu kazi imetulia si audio tu hata video imekusimamisha vyema

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.