Masaa kadhaa yaliyopita msanii wa kimataifa toka nchini Marekani Rick Ross ameandika ukurasa wake wa Twiter kwamba yuo njia kuja nchini Tanzania ambapo atatumbuiza kwenye tamasha bora na kubwa kabisa hapa East Africa - Tamasha la Serengeti Fiesta Dar es salaam, siku ya jumamosi.
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment