ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 5, 2012

MATANGAZO WEEKEND HII


Wapendwa Bloggers wenzangu,
Natumaini wote hamjambo kwa nguvu zake Mungu na mnaendelea vema na kuielimisha jamii katika nyanja mbalimbali. 

Nachukua nafasi hii kuwakaribisha kutembelea 
http://www.absolutelyawesomethings.com/  na vile vile kuomba kama kuna mtu anamfahamu msanii Mtanzania ambaye anaduka au anauza bidhaa zake online anifikishie ujumbe kuwa natoa offer ya kumuwekea tangazo na link ya duka lake katika http://www.absolutelyawesomethings.com/ kwa muda wa mwezi mzima, kuanzia tarehe 5/10-5/11/2012 ikiwa ni kutoa shukrani,kuwapromote wasanii wetu kimataifa vile vile kuwaunga mkono wazawa katika juhudi zao.

Nakukaribisha pia kusubscribe ili upate email newsletter uweze kujua updates zote.

Asante sana kwa ushirikiano wako,
Sophie 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.