Mwanadada ambaye ni mshiriki kutoka Bandari ya Dar es salaam Bi. Oliver Ngumuo ndiye alitawazwa kuwa mshindi wa mchuano huu... na kuzawadiwa kuku wake ndani yaMichuano ya sita ya Bandari iliyofanyika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo ambapo pia zawadi mbalimbali kama fedha na vikombe kwa washindi vilitolewa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.