ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 6, 2012

LEO TUNAANZIA NDANI YA PINDI LA BONGO FLEVA KISHA SEVIS ZA MAMISOSI LIDAZ

Kama unasikiliza Blongo fleva kwa sasa Manyang'au hawa ndiyo wanakisanukisha.

Adam Mchovu na Fid Q.

Bize...
Bhaaaaassss!!

Wanachomekaje ndani ya Lidaz right now...

Chipus....

Choma za viwango vya mbele....


Vyuku saaaana...

Wambusa na inshu zingine za kukarangiza.

Chomex

Ng;ombe 25 zimechinjwa ndani ya viwanja hivi kwa mpango mzima wa leo.

Ni moja tu ya kona za mimina mimina...

The Crew.

Mishikakiz

Kumbukumbu kuwekwa leo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.