ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 7, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 DAR ES SALAAM PART 1

Kutoka kushoto ni Dj Jack, Dj Pq, The master na Denis. 

Afisa Habari wa Clouds Media Group Mr. Simalenga akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Baraka Kondisaga aliyehudhuria tamasha la Fiesta Dar es salaam ambako yuko kwaajili ya kazi za kiserikali.

Afisa Habari wa Clouds Media Group Mr. Simalenga akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Baraka Kondisaga (katikati) aliyehudhuria tamasha la Fiesta Dar es salaam ambako yuko kwaajili ya kazi za kiserikali nami kulia nikisikiliza point.

Hapa kulikuwa na raha zake bwana marafiki kukutana mishangao nini na nini.....

Le shonteee Edgar Mapande akienjoy u-drinki wa wadhamini..

Kundi la Makomando na mkwara wa kwanza stejini... 

Kisha style ya kibega ikachukuwa fasi...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dyana pichani akionesha mbwembewe zake kabla ya kukamata kipaza sauti,mbele ya umati mkubwa uliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar

Kudhihirisha kwa hili ni jukwaa la kimataifa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dyana alionyesha maufundi ya levo za juu.

Feruz this time kaja kiutofauti saaaana.

Mambo yote ilikuwa kwa mnyama TID... wawo!


Hapa ilikuwa tyme ya maujanja ...

Sanaa ya muziki wa hip hop kwa sasa siutani kwamba iko kwenye levo na hilo lilidhihirika alipopanda jukwaani bwana mdogo Stamina.

Wanamuziki mahiri toka home ni Dito na Mada Ice wakiwa VIP.

Mkali toka home Arachuga JCB na DJ Tass... wakibariz VIP ndani ya Tamasha kuba la Serengeti Fiesta 2012.

Mwana Fa shukurani na big up ziende kwake jamaa alikinukisha mbayaaaaaaa....

Wadau toka Clouds Media Group.

Ze ladiez...in the house.

Meza iliyoshine ndani ya VIP nadani wataka kuwajua kutoka kushoto ni Edgar Mapande, Alex Kusaga, Gerlard Hando, Dina Marious, na Ncha Kali.

Msanii wa muziki wa kizazi kutoka Zanzibar AT akitimbwirika na Mwanadada Shilole.

Ze colour ya Serengeti Fiesta 2012 jijini Dar.

Hapo vipi...!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.