ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 8, 2012

MAPOKEZI YA KISHINDO YAMSABABISHA RICK ROSS KUPIGIA SALUTI WATANZANIA

Msanii Rick Ross wa nchini marekani mwishoni mwa wiki ilimlazimu kuwakubali watanzania kwa kukiri kwa maneno na vitendo cha kupiga saluti, kwani licha ya wapenzi wa burudani kuimba naye, msanii huyo alikutana na mapokezi  na heshima ya hali ya juu ndani ya Tamasha kubwa la Burudani la Serengeti Fiesta 2012 viwanja vya Lidaz Club jijini Dar.


"Let me hear a big amen!!!..."


Mnyamwezi alipiga bonge la show na nyuma yake wasaidizi wake kila mmoja na sekta yake wakiratibu mpango mzima.
The place....


Mikandamizo ya Rick Ross ndani ya Tanzania inaendelea....


Rick Ross Viwanja vya Lidaz Dar es salaam nchini Tanzania.


Kwa wale wanaotaka kujipimp midevu kama yeye hii ni bonas kwao.


Kitu cha Chini alitupia mali za Air Jordan.


Maelfu waliofurika kushuhudia Serengeti Fiesta Dar es salaam 2012.


Nnnhaaaa...!!!

Rick Ross perfoming at Leaders Club in Dar es salaam, Tanzania.


I woz zea.....
Rick Ross ameahidi kutumia baadhi ya vipande vya matukio vya tamasha la Serengeti Fiesta Dar es salaam kwenye moja kati ya video za nyimbo zake.


Wadau mmejiona?...



Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.