ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 8, 2012

MAMBO YA UVCCM DAR

Akiwa na kiongozi mwenzake wa uvccm bi MWANAFATMA RUBAI katika viwanja vya karimjee wakati wa mkutano wa mkoa jana.
 
REHEMA MBEGU  AJICHIMBIA UVCCM
Katibu wa umoja wa vijana (uvccm) kata ya makumbusho, na Ofisa mahusiano wa bigright promotions bi Rehema Mbegu ambae mara nyingi yupo na vijana katika michezo na shughuli za kijamii na mwenyekiti wa   Garden Sports Centre amesema sasa hivi anaamua kujitosa mzimamzima na mambo ya siasa kwa kugombea nyadhifa zilizo katika chama akianzia wilayani, haya ni kwa mapenzi yake ya chama na kuhakikisha hawatetereki katika kata yake na wilaya ya kinondoni kiujumla katika chaguzi zijazo na kuleta maendeleo ya kweli katika mkoa wa kinondoni na taifa kiujumla.michezo ina nafasi yake na siasa ina nafasi yake hivyo nitaendelea kusaidiana na vijana katika michezo kama kawaida

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.