ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 3, 2012

TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI IKIWA MAZOEZINI



Bondia Selemani Kidunda kulia akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo cha televisheni ya Mlimani walipotembelea mazoezi ya timu ya taifa ya masumbwi yanaoendelea katika viwanja vya GYM Khana
 
Kocha wa ngumi Hassani Mzonge katikati akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Undule Langson wakati wa mazoezi ya timu ya taifa  kulia ni Abdallah Kasimu \
Kocha wa ngumi Hassani Mzonge katikati akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Undule Langson wakati wa mazoezi ya timu ya taifa  kulia ni Abdallah Kasimu
Undule Langsonkushoto na Abdallah Kasimu wakioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi wakati wa mazoezi ya timu ya taifa  www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.