ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 2, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 MWANZA

Mull B akizungumza live kupitia 88.1 Clouds fm Mwanza na mwana mahiri Hip hop Profesa Jay kuhusu maandalizi ya Fiesta leo.

Mbwiga wa mbiguke wa Sports Extra akizungumza live kupitia 88.1 Clouds fm Mwanza na msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego kuhusu maandalizi ya Fiesta leo.

Nimapeeeema kabisa ndani ya dimba la CCM Kirumba Mwanza mahojiano yakifanyika Clouds Tv na msanii aliyesafiri kutoka Bunda kulikwea jukwaa la Serengeti Fiesta Mwanza.

Jamaa alivunja kabati ile kinowma... ili awe Diamond na kweli akawa...

Sisi...

Marafiki toka nje...

Kutoka kushoto ni Mussa wa kipindi cha Mwanadaresalaam na Clouds Tv, G. Sengo, Camera man wa Clouds Tv P. Diddy na Mbwiga wa Sports Xtra

Full Shangwe,  Nzali na Mwanadaresalaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.